Hapa sijapigwa tukio kweli?

Hapa sijapigwa tukio kweli?

Hivyo vitu visikuumize kabisa alafu kama n mdau wa kutuma magazeti baada ya tukio kama hilo acha, mpe uhuru inaonekana umezama kwake sana, kama we ni mwanaume make sure huyo Ke asilijue hilo maana akiamua kukunyoosha atakunyoosha kweli kweli.
Uko sahihi mkuu nilituma gazeti ila hii asubuhi amenipigia anadai ilikuwa shda ya network so alizima cm kwa muda ili aiwashe tena ndio kupitiwa na usingizi ila kwa hili la magazeti itabidi nibadilike niko hvyo
 
badilika vinginevyo hali inaweza ikaanza kuwa mbaya kwako, kuna vitu vingine uwe unavipotezea, kulikuwa hakuna haja ya kuanza kumlalamikia wakati alishakupa muda wa kuongea na ukingatia muda umeenda anahitaji kupumzika. Ukiwa unamzingatia sana kwenye mawasiliano kila saa nayo ni kero mpe muda wa kukumisi vinginevyo atabuni mbinu kama hizo ili apate kupumzika na kukuepuka kwa muda.
Kama simu zako ni nyingi kuliko miamala pia hili ni tatizo 😅 (natania)
 
Iko haja ya kubadilika
 
Habarini za asubuhi,
Jna usiku nilikuwa nachat whsp na mwenzangu, wakat tunaendelea nikamuga kdgo niende washroom onetime mida km tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakuptikana tena. Maswali niliyojiuliza km inshu ni chj kwann asingebust cm akanijulisha, hapohapo ju swal hili nikawa na swal jingine km ni chaj huwa unajua kuwa hpa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chj inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.

Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zngu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha cm mida hiyo?
Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yngu
Hivi ni kwanini mtu akichelewa kujibu sms au kupokea simu tunahisi mabaya tu..??
 
Ukishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo

Kwanini usijifariji kwamba ulivyomuaga unaenda washroom akazima data kisha akapitiwa na usingizi?badae saa tisa alivyostuka akawasha data

Halafu uzuri wa uovu hata mtu afiche vipi ipo siku atapatikana...huyo wako kama kuna lolote ipo siku utaliona bila hata kutumia nguvu

Kwa sasa enjoy unachopata kwenye hayo mahusiano
Na akumbuke kuhudhuria vipimo vya HIV kila baada ya miezi mitatu ya mahusiano, maake hawa wadudu tulionao ni pasua kichwa
Azuma mara mbili kwa wiki sio mbaya
 
Ukishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo
Hapo nakataa.

Overthinking ni weakness ya mtu tu wala haihusiani na JF. Ni personality disorder. Moja ya dalili za mtu asiejiamini.

And mostly ukiona mtu kama huyu mleta mada anaanza ku overthink kwenye hiyo situation ujue ndio jinsi yeye huwa anafanya akiwa na makandokando yake so anataka akili yake inamtuma ku relate.
 
Back
Top Bottom