Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
- Thread starter
- #21
InawezekanaShughuli gani hiyo?
Kama wewe ni me kuwa makini hivyo ni vitu vya kawaida sana kuanza kukuumiza. Mwenzio alizima simu ili apate nafasi ya kuwa na mpenzi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InawezekanaShughuli gani hiyo?
Kama wewe ni me kuwa makini hivyo ni vitu vya kawaida sana kuanza kukuumiza. Mwenzio alizima simu ili apate nafasi ya kuwa na mpenzi wake.
Yeyote .......kuwa huru...kutokana na upeo wa uonavyo jambo.Maswali yanayohitajika humu ni yapi
Hivyo vitu visikuumize kabisa alafu kama n mdau wa kutuma magazeti baada ya tukio kama hilo acha, mpe uhuru inaonekana umezama kwake sana, kama we ni mwanaume make sure huyo Ke asilijue hilo maana akiamua kukunyoosha atakunyoosha kweli kweli.Inawezekana
Uko sahihi mkuu nilituma gazeti ila hii asubuhi amenipigia anadai ilikuwa shda ya network so alizima cm kwa muda ili aiwashe tena ndio kupitiwa na usingizi ila kwa hili la magazeti itabidi nibadilike niko hvyoHivyo vitu visikuumize kabisa alafu kama n mdau wa kutuma magazeti baada ya tukio kama hilo acha, mpe uhuru inaonekana umezama kwake sana, kama we ni mwanaume make sure huyo Ke asilijue hilo maana akiamua kukunyoosha atakunyoosha kweli kweli.
badilika vinginevyo hali inaweza ikaanza kuwa mbaya kwako, kuna vitu vingine uwe unavipotezea, kulikuwa hakuna haja ya kuanza kumlalamikia wakati alishakupa muda wa kuongea na ukingatia muda umeenda anahitaji kupumzika. Ukiwa unamzingatia sana kwenye mawasiliano kila saa nayo ni kero mpe muda wa kukumisi vinginevyo atabuni mbinu kama hizo ili apate kupumzika na kukuepuka kwa muda.Uko sahihi mkuu nilituma gazeti ila hii asubuhi amenipigia anadai ilikuwa shda ya network so alizima cm kwa muda ili aiwashe tena ndio kupitiwa na usingizi ila kwa hili la magazeti itabidi nibadilike niko hvyo
Iko haja ya kubadilikabadilika vinginevyo hali inaweza ikaanza kuwa mbaya kwako, kuna vitu vingine uwe unavipotezea, kulikuwa hakuna haja ya kuanza kumlalamikia wakati alishakupa muda wa kuongea na ukingatia muda umeenda anahitaji kupumzika. Ukiwa unamzingatia sana kwenye mawasiliano kila saa nayo ni kero mpe muda wa kukumisi vinginevyo atabuni mbinu kama hizo ili apate kupumzika na kukuepuka kwa muda.
Kama simu zako ni nyingi kuliko miamala pia hili ni tatizo 😅 (natania)
Kila la heri mkuuIko haja ya kubadilika
People who mostly have offered attentions to their partners are those who suffer in relationships and vise versa is totally true.Iko haja ya kubadilika
Hivi ni kwanini mtu akichelewa kujibu sms au kupokea simu tunahisi mabaya tu..??Habarini za asubuhi,
Jna usiku nilikuwa nachat whsp na mwenzangu, wakat tunaendelea nikamuga kdgo niende washroom onetime mida km tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakuptikana tena. Maswali niliyojiuliza km inshu ni chj kwann asingebust cm akanijulisha, hapohapo ju swal hili nikawa na swal jingine km ni chaj huwa unajua kuwa hpa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chj inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.
Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zngu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha cm mida hiyo?
Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yngu
Na akumbuke kuhudhuria vipimo vya HIV kila baada ya miezi mitatu ya mahusiano, maake hawa wadudu tulionao ni pasua kichwaUkishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo
Kwanini usijifariji kwamba ulivyomuaga unaenda washroom akazima data kisha akapitiwa na usingizi?badae saa tisa alivyostuka akawasha data
Halafu uzuri wa uovu hata mtu afiche vipi ipo siku atapatikana...huyo wako kama kuna lolote ipo siku utaliona bila hata kutumia nguvu
Kwa sasa enjoy unachopata kwenye hayo mahusiano
Hapo nakataa.Ukishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo
ni kutkuaminiana tu kutokana na tabia zetuHivi ni kwanini mtu akichelewa kujibu sms au kupokea simu tunahisi mabaya tu..??
Dah! Inawezekana mkuuKaliwa
Uko sahihiMnaboaga sana nyie kila muda simu mara meseji yaani mpaka unawaza hivi huyu mtu anafanya kazi muda gani .
Acheni ukatuni mapenzi sio kukamiana kwenye mawasiliano la sivyo mnapoteza mvuto
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app