Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
💯🤝Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela
Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu.
Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu
Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho.
Pole ndugu yangu hiyo pesa yako umetoa mahali Bora ungemvutia Mama yako maji ya dawasa .
Tuendelee tu na hii kampeni ya KIJANA KATAA NDOA nimeona somo limeshaanza kueleweka