Hapa Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mke wa mtu ni Nadharia tu

💯🤝

Tuendelee tu na hii kampeni ya KIJANA KATAA NDOA nimeona somo limeshaanza kueleweka
 
Hapa kuna mke wa mtu ananimendea si poa kqbxaa...yaan katafuta namba zangu anaanza kunitumia misms kwamba ananipenda..mara ana wivu na mimi hadi huwa ananiota...cha ajabu sina hata mazoea nae ila ni pisi moya makini.sanaa....noana kabxa huu mtego naenda kushindwa kuunasua
 
Hahaha
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…