Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja?

Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja?

Vinywaji vikali na vilaini,gesi,vyakula,luku huduma za fedha nk
 
Nauza dagaa kutoka Mwanza na Bukoba, dagaa mchanga na dagaa nyasi. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom