Hapa Tanzania kuna redio na kuna WCB FM,hawa jamaa ni noma

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kudadeiki WCB noma sana,
Ni jiwe baada ya jiwe, ngomaa baada ya ngoma huku kukiwa pe ya Konki konki konki master kwa mbali, yaani ni full full hata wale waliobaniwa airtime,huku unamsikiliza Matonya,Dudu mara Fid mara Langa yaani huku playground iko tambarare hata wale tuliowapenda lkn hatukuwasikia sababu walikuwa na matatizo na Ruge huku ngoma zao zinapigwa mwanzo mwisho mara komando Jide aisee.
Kwa mara ya kwanza WCB anaenda kumaliza hii monopoly
 
Asee hiyo ndo radio yangu toka jumamosi...mawe yanayorushwa humo ndani mpaka vipofu wataona na viziwi watasikia.
 
Hongera sana kwa Vijana wenzetu kwa kazi nzuri, kikubwa msibweteke kila siku iwayo jione kama ndio siku pekeee uliyonayo kukufanya ufikie malengo.
 
Konki konkiiiii
 


Hawana lolote......miziki yao ni ya kuiga Nigerians tu na hawana mwanamuziki wa ukweli wote ni wababaishaji waliochoka.
 
Tusubiri vipindi vianze kwanza ndo vitatupa picha wana ubunifu kiasi gani.
 
Ipe muda hata EFM ilipoanza kelele zilikuwa kuwa Clouds kwisha kazi yake... Time will tell
 
Hawa Jamaa Wamepataje Frequency Wakati Tcra Wamesema Hawatatoa Tena Kwa Jiji La Dar
Wanatumia Frequency ya Coconut FM ambayo ilisajiliwa Zanzibar..

Dar frequency zimejaa kila Kona redio
 
Sijawahi unga mkono juhudi na mafanikio ya wcb

Kwa hii redio wacha niwapongeze na kuwaunga mkono

Go wcb go go go go
 
Hawa Jamaa Wamepataje Frequency Wakati Tcra Wamesema Hawatatoa Tena Kwa Jiji La Dar
Mie ninazo mbili,lete pesa ya maana nikuuzie
Frequency zilipotolewa watu waliomba,kwa hiyo mtu analipia hata kama hana redio,akitokea muwekezaji anauza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…