Hapa Tatizo nini?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Unatongoza unaparangana hadi unakubaliwa.

Ila mahusiano hayaendelei mbele shida nini hapa?

Je hua mnaongea nini na mademu zenu baada ya kukubaliwa??
 
Kuna principle moja, unampenda yule kwa sababu hujakaa naye na kujua madhaifu yake; ukishakuwa naye karibu ndio ukweli unaupata, na kuzinguana ndipo inapoanzia
 
Unatongoza unaparangana hadi unakubaliwa
Ila mahusiano hayaendelei mbele shida nini hapa?

Je hua mnaongea nini na mademu zenu baada ya kukubaliwa??
Jibu ni Moja tuu Mdogo wangu nalo ni pesa ndio maana unaona mahusiano yako hayana directions yanaelekea wapi .

Tafuta pesa mdogo wangu haya mambo ya mahusiano kama huna pesa kaa nayo mbali
 
Unataka maongezi au unataka k?
Mbona kama haujui kwanini umetongoza?
Au ndio anafika nae chumbani kila mtu amekaa sehemu yake anaogopa kuongea na mpenzi wake hata kumsogelea anaogopa

Sijui tumwite domo zege au ni vipi hata hao wanawake wanashindwa kumuanza [emoji1787][emoji1787] kila mtu anamsubiri mwenzie aanze
 
Yani katongoza kakubaliwa halafu hajui cha kufanya daaah....😂😂
 
Unatongoza unaparangana hadi unakubaliwa
Ila mahusiano hayaendelei mbele shida nini hapa?

Je hua mnaongea nini na mademu zenu baada ya kukubaliwa??
Hi uwatokea hasa wale ambao wanaanzisha mahusiano bila hata ya kujuana vizuri bila kujua mawili matatu kwa hiyo ujikuta katika ugeni wa kimahusiano bila kujua outdated details.

Nakushahuru kama kijana mwenzio kabla ya kuanzishwa mahusiano ya kimapenzi Yale ambayo yapo serious unapaswa ujue baadhi ya details za mwenzio hila mweze kwenda sambamba.
 
Migegedo ndo inafanya tunatongoza hivi vingine ni matokeo baada ya gegedo
 
Mawili matatu Kama yapii?
 
Inawezekana hata haukuwa na lengo la kuwa nae kimapenzi lengo lilikuwa ni kumpata tu kimapenz
No
Mfano nilitafta mwanamke kwa miaka 3,akanikubalia baada ya wiki moja akanitumia Sms tuachane without any reason na Hadi leo hajaniambiaga sababu ya kuachana
 
No
Mfano nilitafta mwanamke kwa miaka 3,akanikubalia baada ya wiki moja akanitumia Sms tuachane without any reason na Hadi leo hajaniambiaga sababu ya kuachana
Huo ni mda mchache sana.

Itakuwa unanuka mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…