Hapa tiptop barabarani Kuna chakula kitamu sana

Hapa tiptop barabarani Kuna chakula kitamu sana

Huwa nawaonea huruma sana watu wanaokula sehemu kama hizo, hata sijui kwanini!

Yani huwa nikiona walivyokaa wanakula, wengine wanasubiri nasikitika ila napata tumaini kwa kuona wamama wakiingiza kipato.
hata mimi sio siri mama ntilie asilimia kubwa ni wachafu, ni dhiki tu ndizo zinazotupeleka pale......japo pia kuna watu aliishawandikia wafe masikini hata ukimuwezesha vipi hawezesheki.
 
Kuna sehemu nilikuwa nimeagiza msosi,sasa wakati nasubiri nikamuona mpakuzi kaenda na katoto kake kadogo kwa nje,kumbe kale katoto kanaharisha,yaani kabla hajakavua chupi vizuri kalimwaga UHARO kama Bomba la Dawasco [emoji134]Dada akakaacha kanaendelea kuhara akaingia ndani kuchukua jagi la maji mie namuangalia tu kisirisiri,akarudi nje akakatawaza bila hata sabuni,akarudi nako ndani akaenda kushika sahani aanze kupakua,nilikuwa na njaa lakini nilijifanya naongea na simu nikatoka nje,nilitoka nduki sikurudi tena!!hamu ya kula ilipotea siku nzima!!!mahali popote ukiona wahusika wapo na vitoto vyao vidogo ujue Usafi ni ZERO
 
Mleta Mada ubarikiwe sana.

Ukilinganisha na hizi sikukuu usipopata muda wa kupika geto unasogea hapo na kupata pilau safi kabisa.

Naahidi kwa moyo wangu wote kufika eneo la tukio na kuonja walau sahani tatu za Mama ntilie tofauti tofauti.

Nataka nibadilishe mapishi kidogo. [emoji23]
 
Ni kweli vyakula vya mabarabalani huwa ni vitamu sana hasa supu zao au nyama huwa ni tamu balaa!
255683304402_status_4361c214176f4e6390e01baa2b9844b0.jpg
 
Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili hapohapo.

Sina uhakika umati huu wote wanaokula ni kweli mabachela au nyumbani msosi wa hovyo.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Mitaa yote ya Tiptop, Manzese na Shekilango ni pa moto sana.
 
Huwa nawaonea huruma sana watu wanaokula sehemu kama hizo, hata sijui kwanini!

Yani huwa nikiona walivyokaa wanakula, wengine wanasubiri nasikitika ila napata tumaini kwa kuona wamama wakiingiza kipato.

Elewa neno chakula
 
Back
Top Bottom