goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 446
- 606
kichwa cha habari chahusika, tukumbushane kuwa, hapa duniani bila Yesu Kristo na toba ya kweli hatutaweza kushinda, hapa tulipo na hapo ulipo na hapa tulipofika ni kwasababu tumeiacha kweli na kufuata mafundisho ya mashetani, leo hii msomi mzima unaamini miujiza ya maji, mafuta, jiwe na vitambaa vya upako, amini nawambia, tukimgeukia Mungu wa kweli na kumwita Yeye huku tukiwa na Roho mtakatifu ndani yetu, hakuna vita kubwa kwake Yesu, tukae tukijua mambo mengine hayawezekani ila kwa kufunga na kuomba
SOMA andiko:
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Matayo 17:21
Hili ni Neno la leo, ulitafakari!
SOMA andiko:
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Matayo 17:21
Hili ni Neno la leo, ulitafakari!