Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
Kuna upuuzi Dai ameupost umemuumiza bidada na anawashangaa mameneja wake kuuruhusu huo upuuzi upostiwe kwenye public.
Anasema watoto wameshaanza kumsahau baba yao kwani hajawaona muda.
kumbe ndio maana yake, dah! ila dai kitasa sana, mwanamke mtamu na mzuri hivyo una mlete uswahili