Hapa Zari anamaanisha nini?

Hapa Zari anamaanisha nini?

Kuna upuuzi Dai ameupost umemuumiza bidada na anawashangaa mameneja wake kuuruhusu huo upuuzi upostiwe kwenye public.
Anasema watoto wameshaanza kumsahau baba yao kwani hajawaona muda.

kumbe ndio maana yake, dah! ila dai kitasa sana, mwanamke mtamu na mzuri hivyo una mlete uswahili
 
Hapa ndipo utamu wa penzi utapogeuka kushoto kulia nyuma geuka. Migogoro ya mahusiano inaumiza kuliko vita vya silaha za nyuklia. Ladies and gentlemen take of your a.s.s.s.e.s!
 
Huwa inaniwia vigumu ku_judge maisha ya couple kama hizi, kwa sababu sijui wamepitia mambo gani.

Lakini kama umeshaachana na mtu, hii kuchunguliana kwenye social networks kuona ex wako ka_post nini inakuhusu nini tena?

Na kama umeamua kulea watoto si ulee tu! vinginevyo nenda kimya kimya kawasilishe malalamiko yako ustawi wa jamii juu ya kutelekezwa kwa watoto.
Au ukishindwa huko muone hata Makonda tu.[emoji3]
 
Alipaswa kufikiri kabla ya kutenda,na hii ni toka mwanzo kwa Ivan, irrational decision results into chaos.
 
She once loved that dummy.. That dummy is the father of her children... I think she is the one who should think twice before posting.

Ama akamripoti kwa Makonda[emoji3]
We do forget that the partner you are insulting is the father of your children, this is the man they adore and love, tomorrow you are starting to regret your actions
 
Kuna upuuzi Dai ameupost umemuumiza bidada na anawashangaa mameneja wake kuuruhusu huo upuuzi upostiwe kwenye public.
Anasema watoto wameshaanza kumsahau baba yao kwani hajawaona muda.
I've passed outta of Chibu's posts,never find out any dummy post,otherwise the chick is up for something else....
 
Diamond post is not offensive at all

I wonder why she is bitter?
BTW I thought she was the one who ended the relationship.
Never leave a person while you r in love with.....that is why now the woman becomes a freak!
 
Then how she tried to submit to the public that she's no longer in love with Tandale boy and there z no turning back?
What I think is like she expected some kind of coaxing from the Tandale boy,but obviously it turned out to be different. We have to understand women.
 
Back
Top Bottom