Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hiyo ni sura tuu ya ushamba mkuu, lakini roho iliyomo humo sii mchezo.Mtu mwenyewe wa mikakati mbona mshamba sana anaonekana, kuanzia mavazi mpaka sura yake
Kumng'oa kucha binadamu bila ganzi kwake sio hoja na hahitaji kunywa KVant kupotezea hisia