mikakati inatoka na kuwa na akili nzuri sio vitu unavyoviona weweMtu mwenyewe wa mikakati mbona mshamba sana anaonekana, kuanzia mavazi mpaka sura yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mikakati inatoka na kuwa na akili nzuri sio vitu unavyoviona weweMtu mwenyewe wa mikakati mbona mshamba sana anaonekana, kuanzia mavazi mpaka sura yake.
Huyo Ighondu mbona check-bob tu!
Ndiyo huyo huyo Mkuu.Siye huyu Ighondi aliyehusishwa na kutekwa kwa Dr Ulimboka miaka ile?
Yupo wapi sikuhizi huyo Dr Ulimboka?Ndiyo huyo huyo Mkuu.
Unataka umteke tena.Yupo wapi sikuhizi huyo Dr Ulimboka?
Hiyo kazi yenu siiwezi!,Nataka tufufue kesi ya madai,mkikabidhi nchi novemba mwanzoni,tuwafungulie na kesi juuUnataka umteke tena.