Hapendi nikose swala moja tu kwa siku, ananuna na kukasirika endapo nikikosa kufanya ibada

Wenye maadili ya dini sio factor

Tena hizo ndio zinavunjika kama kuni
 
Hapaswi pia kukununia sababu ya wewe kutoshiriki ibada...

Huyo kununa ni tabia yake...

Anapaswa aombe Mungu mpaka ubadilike mwenyewe...

NB: Sio kila anayesema Bwana Bwana ufalme wa Mungu atauona
Hiyo ni wàgalatia mstari wa ngapi mtumishi?
 
Mimi sitaki zinaa kwa wakati huu, sitaki kula Tunda kabla ya wakati rasmi.
Safi sana na ndo inavotakiwa mtu aliejitunza kama wewe apate mtulivu mwenzie ndo nachomaanisha, sasaje hujali status ya utulivu wake?? Najua unanielewa basi ndo ushazama kwa mtoto wa kimafia

Kila lakher mkuu, ikawe kher bro
 
Habarini wadau

Yapata miezi kadhaa sasa tangu nipate mwenza, lakini ugomvi wake na mimi ni pale nitakapo acha kuswali swala moja tu kwa siku, hapo lazima nitoe maelezo na kununiwa.

Yeye ni mwanamke mwenye misingi ya dini na elimu ya dini ya Kiislamu, mimi pia ninafahamu lakini sio sana, lakini kupitia yeye najifunza mengi na kiukweli nimebadilika sana tangu nianzishe mahusiano na yeye. Alfajiri napigiwa simu kuamshwa kuswali na nafanya hivyo.

kituo kinacho fuata ni kuvuka maji au kutuma wawakilishi visiwani ikiwezekana nichukue jiko kwani naamini huyu ndiye mtu sahihi kwangu na kwa watoto wangu.

Nawahusia vijana wenzangu tutafute wanawake wenye maadili ya dini, haijalishi ni dini gani lakini yawe maadili ya kweli na siyo ya kuigiza.

Pia soma: Naombeni sifa za wanawake au mabinti kutoka Mafia
Pole sana Mkuu, kwani nilazima ufwate Matakwa yake???
 
Safi sana na ndo inavotakiwa mtu aliejitunza kama wewe apate mtulivu mwenzie ndo nachomaanisha, sasaje hujali status ya utulivu wake?? Najua unanielewa basi ndo ushazama kwa mtoto wa kimafia

Kila lakher mkuu, ikawe kher bro
Nashukuru sana bro, naamini Mungu atafanya wepesi na nitavuka maji kwenda visiwani.
 
hamna kitu kinanikera kuhusu wanawake kama ushikaji wa dini

yaani utakuta hadi malaya mbobezi kashika dini

na kama sio mpenzi wa vitu vya dunia atakukera sana kwenye mazungumzo
 
Habarini wadau

Yapata miezi kadhaa sasa tangu nipate mwenza, lakini ugomvi wake na mimi ni pale nitakapo acha kuswali swala moja tu kwa siku, hapo lazima nitoe maelezo na kununiwa.

Yeye ni mwanamke mwenye misingi ya dini na elimu ya dini ya Kiislamu, mimi pia ninafahamu lakini sio sana, lakini kupitia yeye najifunza mengi na kiukweli nimebadilika sana tangu nianzishe mahusiano na yeye. Alfajiri napigiwa simu kuamshwa kuswali na nafanya hivyo.

kituo kinacho fuata ni kuvuka maji au kutuma wawakilishi visiwani ikiwezekana nichukue jiko kwani naamini huyu ndiye mtu sahihi kwangu na kwa watoto wangu.

Nawahusia vijana wenzangu tutafute wanawake wenye maadili ya dini, haijalishi ni dini gani lakini yawe maadili ya kweli na siyo ya kuigiza.

Pia soma: Naombeni sifa za wanawake au mabinti kutoka Mafia
Huo ni utumwa tu
 
Hao mfunuo mmoja wa juba bao moja la chap......
Hii dunia bhana....ni uongo,uongo,uongo everywhere 🙌
 
Back
Top Bottom