kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #41
Sawa mkuudini sio kigezo cha kuwatenganisha/kuwachagua wanawake,
wote wanaifuata, bila kujali kama wana tabia za hovyo au la
women are inherently spiritual
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuudini sio kigezo cha kuwatenganisha/kuwachagua wanawake,
wote wanaifuata, bila kujali kama wana tabia za hovyo au la
women are inherently spiritual
Mahari bado sijajua mkuu, umri wake ni 24, kuhusu mdogo wake subiri niende mafia nikirudi ntakupa ripoti kama na wewe unaweza kupata mmoja.Mahari yake kiasi gani mkuu na ana umri gani je ana mdogo wake na mimi nijipatie mburushi
Dah tatizo lako mbishi sana Nakwede hayaa, sijakukatia tamaa lakini pengne utalegeza mwez wa 5 mbali.Gari linipite tu ndoa zimekua za maigizo hakuna furaha Wala amani
Thubutu kama unaoa sema tuje tujumuike 😀Dah tatizo lako mbishi sana Nakwede hayaa, sijakukatia tamaa lakini pengne utalegeza mwez wa 5 mbali.
Hapa nasikiliza kale kawimboThubutu kama unaoa sema tuje tujumuike 😀
Mtakatifu Petro,na ndo maana ukazaliwa...acha unafki🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona sasa mimi nimeleta mada ya maadili wewe unaleta habari za Ngono..🙌
Zipo nyuzi za kulana kimasihara, hii mada imeletwa na kupewa udhamini kutoka Mafia 😂Mtakatifu Petro,na ndo maana ukazaliwa...acha unafki🤣🤣🤣🤣🤣🤣
24Kama ni above 26 anaigiza uyo
😔Zipo nyuzi za kulana kimasihara, hii mada imeletwa na kupewa udhamini kutoka Mafia 😂
Pole sana Mkuu ndivyo ilivyo penye watu wengi mimi mwenyewe nimehuzunika sana. Ngono ni kitu cha ziada kwenye ndoaOna sasa mimi nimeleta mada ya maadili wewe unaleta habari za Ngono..🙌
Kwel ngono ni kitu cha ziada,,ila kwenye ndoa tendo la ndoa ni muhimu.Pole sana Mkuu ndivyo ilivyo penye watu wengi mimi mwenyewe nimehuzunika sana. Ngono ni kitu cha ziada kwenye ndoa
Mkuu mafia kuna watoto wazuri kweli kuna jamaa yangu ameoa huko tatizo lao ni Wabishi, wajeuri na huwa wanataka kumpanda mwanaume kichwani.Mahari bado sijajua mkuu, umri wake ni 24, kuhusu mdogo wake subiri niende mafia nikirudi ntakupa ripoti kama na wewe unaweza kupata mmoja.
Nimekosea kutafsiri Babe, Sex is the addition to a good marriageKwel ngono ni kitu cha ziada,,ila kwenye ndoa tendo la ndoa ni muhimu.
Yupo 24 bhana mbona unachafua hali ya hewaKama ni above 26 anaigiza uyo
We wadanganye wenzio tu,,sex sio addition lakini ni muhimu ndani ya ndoaNimekosea kutafsiri Babe, Sex is the addition to a good marriage
Upendo ndio kila kitu, tendo ni ziadaWe wadanganye wenzio tu,,sex sio addition lakini ni muhimu ndani ya ndoa