Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
sasa ndo unavunja mawasiliano au nisemeje mie!!!??
Unatakiwa kusema 'map boule'...ni ki creole cha Haiti hicho...haya tujaribu tena basi....
Sak pase?
anamaanisha 'what's happenin'(What's up).........sasa ndo unavunja mawasiliano au nisemeje mie!!!??
mzee wa madialect huh!!!
niambie kwanza maana yake b4 nirespond....
Unatakiwa kusema 'map boule'...ni ki creole cha Haiti hicho...haya tujaribu tena basi....
Sak pase?
anamaanisha 'what's happenin'(What's up).........
Naona Mister wako keshakuambia maana yake....inamaanisha 'what's up/ what's happening?'
hahaaaa ndo raha yake.....i knw am protected!!!!! hahahaaaaa Thanks mpendwa wangu B!!!
hahaaaa ndo raha yake.....i knw am protected!!!!! hahahaaaaa Thanks mpendwa wangu B!!!
Nkwingwa is a true gentleman so you better keep him. Usianze kuruka ruka huku na kule...
hey!!!! mambo vipi Shosti wangu??? sie tupo kumekucha na kuchwa na mabo yetu.......
That's wats'up Nkwinga...Obeja sana
siku ndiyo imeanza hivyo!....i can't wait until Friday kwa kweli...so i can go and do my hair maana sasa hivi i look like a sukuma woman with Nappy hair!...
wabeja sana!....
Unaenda kuweka weave? Zile nywele bandia za Kichina?
Ulitakiwa kusema 'obeja gete'
siku ndiyo imeanza hivyo!....i can't wait until Friday kwa kweli...so i can go and do my hair maana sasa hivi i look like a sukuma woman with Nappy hair!...
Kwani WEAVE zinatatizo gani?....Actual i am thinking of going bold kama Alec...
hazina side effect kama zile dawa za kuongeza naniliu.....
dont go bold bibie au ndo uepuke ahda za salon kama hivo eeeh!!!!
zogo kaya!...utondege toliya!..
Nkwingwa is a true gentleman so you better keep him. Usianze kuruka ruka huku na kule...
hahaaa unawachokoza mawifiz sio!!!!
shostito ijumaa ni kama mbali mie nimechoka toka asbh sijui ndo kule kulimishwa kama wewe!!!! mmh mie majirani wazaramo watakuwa wamifanyiza kazi za nyumbani nahisi!!!!!