hahaha jana basi shosti nikamchokoza wifi yangu mmoja nikamwambia my hair is nappy kama nimetoka mwanza jana alinitukana matusi ya nguoni....alafu akaniambia na nisulubiwe...hahahahahah!....
ooh pole na wewe wamekulimisha leo?...mwenzio nimewakemea jana usiku naona wamekimbia...ogopa sukuma people!

Tutakupa talaka wewe..ohoooooo
hahahahaha! talaka hapewi mtu hapa shem...
Mtakuja primary school.....
swadakta!....umejuaje?....hapa panaitwa "mtakuja"...
hapewi mtu talaka! msukuma kafika mwenyewe kwa mtoto wa kinyalu
swadakta!....umejuaje?....hapa panaitwa "mtakuja"...
hapewi mtu talaka! msukuma kafika mwenyewe kwa mtoto wa kinyalu
Hahaaaaaaaaaaaa...Avatar yako hiyo inasema kila kitu shem
Ile figure ya Mnyalu ni moto wa kuotea mbali. Walahi tena!!!
Hahaaaaaaaaaaaa...Avatar yako hiyo inasema kila kitu shem
Ile figure ya Mnyalu ni moto wa kuotea mbali. Walahi tena!!!
heheee afu ndani ya kanga moja, acha wasukuma waende ( shosti kweli watakuja)
haya basi muendage mkatoage na maoni yenu huko kwa limwandishi la habari Jerry Muro wajemeni!!!!
heheeeeeeeeeeeeee
heheeeee najifunza hivooo!!!! mpaka ikifika siku ya kwenda kwa wakwe ntakuwa naflow tu!!!!!
heheeeee najifunza hivooo!!!! mpaka ikifika siku ya kwenda kwa wakwe ntakuwa naflow tu!!!!!
hahaha shosti imebidi nicheke mwenyewe maana hiyo accent yako imeniacha hoi na mate yanakutoka hapo..."muendage"..huku mishipa imesimama
Shaka ondoa utacope taratibu tu...shem BM atakuongoza uzuri
Shaka ondoa utacope taratibu tu...shem BM atakuongoza uzuri
hahaaaa hapo sinakuwa nimeshindilia liugali mwanawane la dona na minguvu kibao!!!!! (sio kama sasa kimbaumbau)
Kiongozi nimempata kwa kweli!!! shosti wangu namuaminia!!
aah huko wala asiwe na shaka mwenzako nimeshakuwa pro these days na hawa wasukuma manga...na wasukuma wana mahasira ya haraka sana shosti...wakikuudhi wee acha nao endelea na hamsini zako...mpikie dona yake muwekee hapo wala usimpe attention...mwenyewe atarudi!
Yeah ugali mgumu uliopaliwa kwa mkaa(kama wali) na nyama iliyopikwa kwa samli pamoja na mlenda ulowekwa karanga(nswalu)..Asubuhi unapata breakfat ya viazi vya kuchemsha au matovolwa yaliyopikwa na maziwa mgando...Hapa lazima ucope na accent yetu aisee