bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
hahaha jana basi shosti nikamchokoza wifi yangu mmoja nikamwambia my hair is nappy kama nimetoka mwanza jana alinitukana matusi ya nguoni....alafu akaniambia na nisulubiwe...hahahahahah!....
ooh pole na wewe wamekulimisha leo?...mwenzio nimewakemea jana usiku naona wamekimbia...ogopa sukuma people!
yeomiii hiyo adhabu mbona kali kulinganisha na kosa hahaaaa lol!!!!!!
asante shosti,.... unataka kuniambia hata Mpendwa wangu atakubali nilimishwe kweli???? hapana!!! i kinda trust him!!!!!!!!!