Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
yeah shostito..habari ndiyo hiyo nashangaa jina la mdada wa watu limetokea wapi!.....
Unaona sasa...wewe si ulimringia John Mashaka....huyo ungekuwa wewe sasa hivi na hiyo pete. Ukasema eti ni mfupi sana...
Unaona sasa...wewe si ulimringia John Mashaka....huyo ungekuwa wewe sasa hivi na hiyo pete. Ukasema eti ni mfupi sana...
hahaaaaaaaaaaaa!!! sasa huko ni kuringa nawe OPP si ni kwamba hakufikia vigezo vya shostito wangu khaa!!!!!!!
mambo ya kumsimamisha mwenzio kwenye kistuli ili akupige busu ya nini, utamu unapungua!!!
hahaaaaaaaaaaaa!!! sasa huko ni kuringa nawe OPP si ni kwamba hakufikia vigezo vya shostito wangu khaa!!!!!!!
mambo ya kumsimamisha mwenzio kwenye kistuli ili akupige busu ya nini, utamu unapungua!!!
Teh teh............
Nimegundua watanzania wengi kumbe bado washamba, mnashangaa nini kwa mrembo kama huyo kuvishwa pete ya kiasi hicho???? mbona watu wanvikwa hadi za mamilioni usd? au mpaka kila anayevishwa muelezwe na mjue imecost kiasi gani??, acheni hizo.
haya bwana stalogen
Pete iwe ya Kariakoo ya 3000/= au itoke USA ya 1bilion yote sio ishu.
Mapenzi ya dhati na kweli ndiyo yana-matter.
kama ni mapenzi honie................basi yaliisha zamani................
mbona siku hizi ni mambo ya pete ndo yamebaki...
Not apply in all cases.mbona mie shemejio nampenda kwa dhati na hiyo pete sina kwanza.i must admit kuwa kwa wengi hakuna mapenzi lakn Wapo wachache waliosalia.
Not apply in all cases.mbona mie shemejio nampenda kwa dhati na hiyo pete sina kwanza.i must admit kuwa kwa wengi hakuna mapenzi lakn Wapo wachache waliosalia.
This prove that Love is still exist....we na my shemeji ni exceptional case (na za hivo zipo chache sana) thats why we draw conclusion kuwa maepenzi yaliisha zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
hata mimi na shemejio ni mapendo ya dhati kabsaaaaaaaaaa
Nyie vipi, mbona mnapoteza ladha ya story??? Millen mie nimeongea naye, kwanza kanionyesha pete. Ni yeye ndo kavalishwa pete
Huyo mkaka alomvalisha ni mtoto wa fisadi fulani, lakini kainunua pete na fweza zake mwenyewe. ana kazi nzuri sana Canada
John Mashaka ni mchumi, yule hawezi kutoa hela kiasi hicho kumvalisha demu pete, namjua sana yule jamaa. Kila kitu kwake ni mahesabu
duh! so which is which??...Maana source za Millen zinasema kuwa Millen hajavalishwa pete na kwanza hana Bwana......na za John Mashaka zinasema kuwa John kamvalisha demu pete ya thamani hiyo ila aliipata kwa sale......Labda John Kamvalisha Millen Pete ya uchumba....duh i can imagine John Mashaka na Millen kuoana maana ni kama pimbi na zena kwi kwi kwi kwi kwi.....
Anyhow yote maisha aliyevalishwa na aliyevalisha....wote honegar zao!>....mungu amawape uzima na afya kwenye ndoa yao..Amen!
Hebu wacha kubishana unapoteza calories bure.......by the way shem I am so thirsty today......
True dat shem!...hahahahahah nikusaidiaje shem sasa kuondoka hiyo thirsty?....Nina Ice mountain water 24 packs!......unless unaongelea thirsty ya kinywaji hahahahaha!
I am diet mwenzio no water! Nina allergy nayo pamoja na maziwa......beer will do