Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

Huyuu aliyee andikaa apaa ukikuaa utaa achaa so fine kasha vishwaa so wanaa jf tufanyajee? Na ilishaapitaa cjui miakaa mitatu unakujaa kutuambia ilii nini yamepitaa achaa yapitee coz yashapita y usigangee yajayoo mmmh ???
 
ile pete bado iko kidoleni maana naona muda mrefu umepita ,kimya kingi na dada baaado kuona ndoa ?
 
Huyuu aliyee andikaa apaa ukikuaa utaa achaa so fine kasha vishwaa so wanaa jf tufanyajee? Na ilishaapitaa cjui miakaa mitatu unakujaa kutuambia ilii nini yamepitaa achaa yapitee coz yashapita y usigangee yajayoo mmmh ???

Kama hujui vitu uliza sio unajifanya kujua!yaani hata kuona thread iliandikwa lini shida alafu unatoa povu,muda wa ku resit mitihani bado?mnatuwekea kiwingu watoto wa Mulugo
 
Hivi alifanikiwa kufunga ndoa??

Hii kufuru ya pete lol!!!
 
Huyu si ndo miss Tz 2001? Kuna uzi mmoja ulianzishwa kule jamii photos anasema ana ugonjwa ambao hawezi kushika mimba kwa hiyo hawezi kuolewa
kwa hiyo wasiobarikiwa uzazi hawapaswi kuolewa?
na wasiozaa baada ya kuolewa waachwe?
yarrabi tunusuru!
 
kwa hiyo wasiobarikiwa uzazi hawapaswi kuolewa?
na wasiozaa baada ya kuolewa waachwe?
yarrabi tunusuru!

Mkuu sio maneno yangu haya ni yake mwenyewe....inawezekana yeye ndo mtazamo wake kuwa ndoa bila mtoto haina maana....btw maelezo yangu yalikuwa yanalenga kumpa maelezo mdau hapo aliyeuliza kama ndoa ilifungwa au la....kwa maelezo hayo aliyotoa mwenyewe kuwa hawezi kuolewa tafsiri yake ni kwamba hyo ndoa haikufungwa....sijui umenipata mpenz..?
 
Magese yule aliyeondolewa mirija ya mfumo wa uzazi au!!!!
 
Juzi nilimuona kwenye kituo kimoja cha tv akilia sana...pole dada Magese
 
Juzi nilimuona kwenye kituo kimoja cha tv akilia sana...pole dada Magese

Sasa jamb anaoa mtu asiyezaa!! duu watu bwana.Me mwenyewe nilimwona akilia et hana uwezo wa kudaka ujauzito.
 
Sasa jamb anaoa mtu asiyezaa!! duu watu bwana.Me mwenyewe nilimwona akilia et hana uwezo wa kudaka ujauzito.

Tatizo ilo lilimtesa sana kiasi kwamba alikua akilazwa hosp kwa siku 5 mpaka 6 . Apo unaweza ku guess maumivu aliyo akiyapata. Amesema atatafuta namna nyingine kupata mtoto. Hp ataolewa
 
Angalieni post hii ya lini....pengine ugonjwa umegundulika baada
 
Hata kama utakuwa tajiri kiasi gani huwezi kumtoa maskini kijijini kwako akawa tajiri. Na huwezi kuwa unawapa chakula kila siku.
 
Mwaka 2010? Ni muda mrefu hivi?!
 
Huyu si ndo miss Tz 2001? Kuna uzi mmoja ulianzishwa kule jamii photos anasema ana ugonjwa ambao hawezi kushika mimba kwa hiyo hawezi kuolewa

Unadhani kila anayeoa anatafuta mashine ya kuzalia?

Wengine wanao kwa mapenzi bin mahaba watoto majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…