Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Ni wakati wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Huyuu aliyee andikaa apaa ukikuaa utaa achaa so fine kasha vishwaa so wanaa jf tufanyajee? Na ilishaapitaa cjui miakaa mitatu unakujaa kutuambia ilii nini yamepitaa achaa yapitee coz yashapita y usigangee yajayoo mmmh ???
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Hivi alifanikiwa kufunga ndoa??
Hii kufuru ya pete lol!!!
kwa hiyo wasiobarikiwa uzazi hawapaswi kuolewa?Huyu si ndo miss Tz 2001? Kuna uzi mmoja ulianzishwa kule jamii photos anasema ana ugonjwa ambao hawezi kushika mimba kwa hiyo hawezi kuolewa
kwa hiyo wasiobarikiwa uzazi hawapaswi kuolewa?
na wasiozaa baada ya kuolewa waachwe?
yarrabi tunusuru!
Juzi nilimuona kwenye kituo kimoja cha tv akilia sana...pole dada Magese
Sasa jamb anaoa mtu asiyezaa!! duu watu bwana.Me mwenyewe nilimwona akilia et hana uwezo wa kudaka ujauzito.
Tatizo ilo lilimtesa sana kiasi kwamba alikua akilazwa hosp kwa siku 5 mpaka 6 . Apo unaweza ku guess maumivu aliyo akiyapata. Amesema atatafuta namna nyingine kupata mtoto. Hp ataolewa
Sasa jamb anaoa mtu asiyezaa!! duu watu bwana.Me mwenyewe nilimwona akilia et hana uwezo wa kudaka ujauzito.
Hata kama utakuwa tajiri kiasi gani huwezi kumtoa maskini kijijini kwako akawa tajiri. Na huwezi kuwa unawapa chakula kila siku.Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!
Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"
Mi simo
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Huyu si ndo miss Tz 2001? Kuna uzi mmoja ulianzishwa kule jamii photos anasema ana ugonjwa ambao hawezi kushika mimba kwa hiyo hawezi kuolewa