Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

magese gani?

yuleyule ambaye hata wowowo lake kuliona mpaka uvae miwani?????

kweli wanaume wamedata!!!!!!!!!!!!!!

do all men have the same interests???? we vipi??? kuna wenzio wanazifia haa stretch marks wewe acha mawazo yako duni!!!
 
Hebu acheni hizo nyinyi....watu wanadondosha $4,000,000.00 kwenye pete nyinyi mmekalia kushikia bango $76,000.00. Eti wengine mnasikitika. Mnasikitikia nini sasa?
 
.

Juzi juzi tu mke wangu aliniambia kuwa yuko mtu anataka kumuuzia mkufu wa dola 300; kwa hali tuliyonayo dola 300 tungeweza kununua lakini tukashauriana kuwa kwa nini kuvaa kitu cha dola 300 ambacho kitahatarisha maisha. Tukakubaliana kuacha.
.

Aisee Future Bishop hebu jaribu kufuatiliya basi kama huo mkufu bado haujauzwa....then PM me nataaka kuununua if you don't mind alafu nitumie na picha yake niuone...alafu let me know ni how many karat?.....maana msukuma wangu kaniambia ataninunulia as zawadi ya valentine....
 
do all men have the same interests???? we vipi??? kuna wenzio wanazifia haa stretch marks wewe acha mawazo yako duni!!!

Hahaha-ha shosti ume-notice eeh!....anyhoo Magese super model wowowo la nini?....unless yeye miss bantu
 
shostito ndo umenza maandalizi tayari???? haya bibie dudluk!!!

(umepotea na wewe?)
 
tunagogomoka bure wakati kuna msemo usema "maji ya kifuu ni bahari ya chungu"

Tukubali tofauti zetu
 
Hahaha-ha shosti ume-notice eeh!....anyhoo Magese super model wowowo la nini?....unless yeye miss bantu

aah huyu nae bwana mi kanishangaza, labda yeye ni Masa type!!!! (masa nimeona umegonga senks)
 
Namuonea huruma huyo Msukuma wa watu, mwaka huu atauza zizi zima la ng'ombe kwa ajili ya Binti Maringo!.
 
shostito ndo umenza maandalizi tayari???? haya bibie dudluk!!!

(umepotea na wewe?)

eeh shosti mwenzio nimeanza maandalizi mapema si unajua siku ya wapendanao inakuja...ujanja kuwahi inabidi huyu msukuma nimuweke sawa!.....wee umekiwakimbi akisa kusonga lile dona hahahaha!....

shostito nipo ww ndiyo sijakuona jamvini!....maana we have a lot to catch up you know!....
 
Wewe unafikiri kila mtu anatafuta wowowo kama wewe?

"Wengine wanasema wana usongo
Wengine wanabaki wanapigana madongo
Wabongo, Wabongo, Wabongo, Wabongo
Aaah Yeah"

-Wabongo Mr II

do all men have the same interests???? we vipi??? kuna wenzio wanazifia haa stretch marks wewe acha mawazo yako duni!!!

kama point zenu ndio hizo, basi nyumba ndogoz zitaendelea kutesa mpaka kiama. huyo mzee anajiexpress na hyo cerebrity kwa sababu ya jina lake tu, lakini ndoa ikishafungwa immediately inapelekwa ICU,

unafikiri jamaa akiona totoz za uswazi (rejea thread ya nheshimiwa mmoja hapa jamini) atakumbuka kiselebriti chake kisicho hata na hips, na jinsi kilivyo hata siku kikiugua ukimwi hatagundua hadi kinakata roho, kwani tayari kafiga kake ni kama kana ukimwi sugu, utadhani hakali sima.

nyie mjifurhishe tu, kama figa isingekuwa ya msingi, Mwenyezi Mungu angewabinuabnua vile dada zetu? namba nane hoyeee...........

subirini tu mtaona.
 
Namuonea huruma huyo Msukuma wa watu, mwaka huu atauza zizi zima la ng'ombe kwa ajili ya Binti Maringo!.

Nijuavyo mimi Wasukuma ni mabahiri sana...ila huwezi jua..yawezekana mwenzetu kaopoa tupatupa...
 
Namuonea huruma huyo Msukuma wa watu, mwaka huu atauza zizi zima la ng'ombe kwa ajili ya Binti Maringo!.

hahhahaaaaa!!!!

BM analipa mkuu!!!! acha jamaaa agharimie hapo!!!
 
aah huyu nae bwana mi kanishangaza, labda yeye ni Masa type!!!! (masa nimeona umegonga senks)

Wanaume wengi wa kibongo bana wanahusudisha sana haya ma wowowo....na ukiuliza why hawana valid reason.....Hahahaha nimeona Masa katoa senksi nikasema kwa point ipi?....
 
Nijuavyo mimi Wasukuma ni mabahiri sana...ila huwezi jua..yawezekana mwenzetu kaopoa tupatupa...

Acha uharibia kivuli banyamlenge!.....Msukuma hapa kafika mwisho wa reli kigoma akasema siendelei.....sasa unabisha????.....LOL~!
 
huo ni mtazamo wako wewe!!!! una mawazomafupi sana wewe!!

nyie ndo mnaolazimishaga watoto wenu kusomea profession mnazotaka nyie despite of them having passion and capacity on something else!!!

we unakiona cha nini wenzio wanauliza watakipata lini!!!!! utajijuu!!!
 
Wanaume wengi wa kibongo bana wanahusudisha sana haya ma wowowo....na ukiuliza why hawana valid reason.....Hahahaha nimeona Masa katoa senksi nikasema kwa point ipi?....

am shua kwa pweint ya tiGo!!! hahaaaaa
 
tutanegotiate nao tu uswazi, hamna shida..........
 
Wala sibishi aisee maana kipenda roho...

Yes kipenda roho ula nyama mbichi!.....inaelekea hujapenda bado weye au na wewe unahusudisha hayo mawowowo?...Msukuma wangu hana hiana...

Alafu uwe unatoa na senksi basi!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…