kama point zenu ndio hizo, basi nyumba ndogoz zitaendelea kutesa mpaka kiama. huyo mzee anajiexpress na hyo cerebrity kwa sababu ya jina lake tu, lakini ndoa ikishafungwa immediately inapelekwa ICU,
unafikiri jamaa akiona totoz za uswazi (rejea thread ya nheshimiwa mmoja hapa jamini) atakumbuka kiselebriti chake kisicho hata na hips, na jinsi kilivyo hata siku kikiugua ukimwi hatagundua hadi kinakata roho, kwani tayari kafiga kake ni kama kana ukimwi sugu, utadhani hakali sima.
nyie mjifurhishe tu, kama figa isingekuwa ya msingi, Mwenyezi Mungu angewabinuabnua vile dada zetu? namba nane hoyeee...........
subirini tu mtaona.