briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 117
- 132
Wanaume tumepoteza sifa za uanaumeTatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora.
Sasa hv mwanamke hata umtoe bikra, haina maana ataolewa na wewe au atakupa nafasi thamani yako ya pekee,labda kwa mbaliii mfukoni uwe unajiweza,hawaoni hata thamani yao halisi kwa sasa,ndio maana hawaoni shida kukaa hata kwenye press na kusema bora kuwa single mother kuliko kuolewa.kuna tatizo mahali,hebu tupeaneni mawazo
Tupo mkuu, tulikua tunachagua ila pia na binti alikua anachagua , ila kwa maslai mapana ya kizazi cha baadae machaguo yote yalikua yanaweza kutupwa kapuni ,likapendekezwa chaguo moja iwe kwa kupenda ama kutokupenda .Unadhani hata mwanaume alikuwa anachagua basi?
Ninavyoelewa mimi zamani ndoa zilikuwa zinapangwa na wazee, wanakaa wanasuka mikeka
Au tunazungumzia zamani gani?
Pia naona watu wa zamani hawapo humu wangetupa uzoefu
Hapana sema wewe usitujumuishe tusiokuwepo.Wanaume tumepoteza sifa za uanaume
Nadhani kikubwa kilichobadilika ni kwambaTatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora.
Sasa hv mwanamke hata umtoe bikra, haina maana ataolewa na wewe au atakupa nafasi thamani yako ya pekee,labda kwa mbaliii mfukoni uwe unajiweza,hawaoni hata thamani yao halisi kwa sasa,ndio maana hawaoni shida kukaa hata kwenye press na kusema bora kuwa single mother kuliko kuolewa.kuna tatizo mahali,hebu tupeaneni mawazo
Hivi kwa nini mnakuwa wagumu sana kukubaliana na mabadiliyo ya kijamii na kiutamaduni,dunia ya mwaka 40 sio ya sasas.Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora.
Sasa hv mwanamke hata umtoe bikra, haina maana ataolewa na wewe au atakupa nafasi thamani yako ya pekee,labda kwa mbaliii mfukoni uwe unajiweza,hawaoni hata thamani yao halisi kwa sasa,ndio maana hawaoni shida kukaa hata kwenye press na kusema bora kuwa single mother kuliko kuolewa.kuna tatizo mahali,hebu tupeaneni mawazo
UKWELI HUU UTAKUWEKA HURU MILELE. ABARIKIWE ALIYEKUZAA. UNA AKILI SANA.Wanaume tumepoteza sifa za uanaume
Kwanini ni ngumu tena?Shida ipo lkn n ngumu sana kuitatua.