Acha makasiriko kaka jibu utaweza kuihudumia au anaenda tu kuipaki ndaniAcha sifa dogo
View attachment 3488951
Hiyo nitanunua 2030 hivi au 32 kabisa itakuwa poa zaidi.Yes,mimi yangu Z flip 7 ilianguka ,nilienda badilisha kioo siku hiyo hiyo. Ila USD 700 zilinitoka Ziliniuma mno.
Hatubadili tunanunua mupyaMatajiri wa JF mnaitwa huku.
Mimi ya kwangu ikivunjika kioo naenda kubadilisha Leo Leo maana kioo chake hakizidi 30 dukani