Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Eeh abuse huku kachuchumaa,akipiga chafya lazima wazunguu watokee🀣🀣🀣
Wazungu wa siku 3 watatoka?.

Mimi demu kama aliliwa ndani ya wiki namgundua nikiingiza.

Pili macho huongea kila kitu
 
Nenda Dom kamtafute viwanja kama Rainbow, bambalaga au royal village. Ila punguza wivu mkuu. Usifatilie kitu ambacho hautaweza kuhimili maumivu yake baadae. Jifanye mjinga tu maisha yaendelee.
 
Hakika! Sio wanawake tu hata kwa nyie wanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…