Happening Now: Groundbreaking Dongo Kundu Special Economic Zone.

Happening Now: Groundbreaking Dongo Kundu Special Economic Zone.

Dongo kundu?

Hicho ndicho Kiswahili alichowafundisha baba yenu Kenyatta!?
Nugu! Uhuru ni rais wetu! Sijui mahali unapolitoa jina baba
Where do you think other independent players are fetching their stats for more procession? Hahaha so even those tweets from Americans are from the government?

Tanzania is not in your league, we're in the same rank as SA, Angola, Namibia.... More SADC than you goons
Shida yako gani babu mla albino?
Mihogo ya sumu imekulipukia akilini?
 
Aki ya nani hii nchi bana, yaani sio kwa kasi hii, hapa tunawapiga mabao double double....yaan kila tukiamka bonge la mradi...hapa mnawachosha majirani ambao huja kukojolea chochote kizuri cha Kenya, mnafaa mnawapa siku kama mbili ndio mnatangaza, lakini kwa style hii wanaishiwa bundle, unajua wanategemea zile buku saba za Lumumba.
Hivi wewe unatutafta nini?
 
Ngoja kidogo boss, kabla hujaanza kumwaga povu lako la kawaida acha nikuelimishe kidogo. Jina halikuchaguliwa, mradi unaitwa Dongo Kundu kwasababu sehemu hiyo inaitwa hivyo. Wenyeji wa Mwambao wamepaita Dongo Kundu kwa miaka zaidi ya 300. Yaani ndio wale waswahili halisi, sio nyinyi wasukuma wa kudandia lugha za watu.
Still, Dongo Kundu?

Watu wamepaita hivyo. Mradi nao umeitwa hivyo?

Dongo Kundu?

Dongo Kundu?
 
There is a town in Japan called Kumamoto do you want them to change that name to suit your preference?
Japanese people do not use Swahili as a medium of communication.

Your analogy combines a false equivalence and a distorted obfuscation.

Just because two things share the same trait, it dies not mean they are the same.
 
Stay on your country and please be proud of it, no matter how corrupted and ugly it looks, living in Kajiado does not give you a qualification to be related on anyhow with Tanzanians, tell your brothers and yourself to be Kenyans.
Now you are making illogical leaps of thought.You are making huge assumptions, I would never want to be a Tanzanian and neither have I made any statement to allude to your thoughts. Now do you see why I call you insane?

Still, Dongo Kundu?

Watu wamepaita hivyo. Mradi nao umeitwa hivyo?

Dongo Kundu?

Dongo Kundu?
Ndio, Dongo Kundu- Udongo Mwekundu. Usiniambie kwamba vitu simpo kama hivyo ni scandal kwa mtu na midevu yake kama wewe.
 
[URL ]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kwanza mmalizane na watu wenu wamejaa Jiggers hadi kwenye ubongo kabla hamjaanza mambo ya ziada ...
 
Japanese people do not use Swahili as a medium of communication.

Your analogy combines a false equivalence and a distorted obfuscation.

Just because two things share the same trait, it dies not mean they are the same.

Context matters, I promise to say something positive at the end.

a) It is "does" not "dies"

b) Kenyans know the meaning of Dongo Kundu to mean "Red soil", same as Kumamoto has it's meaning to the japanese (Our kiswahili expressions will differ from yours).

c) Your perverted interpretation of the phrase does not mean what you want it to mean to us, just as Kumamoto does offend the japanese

d) I hope you were taught about Dialects (Lahaja) in your kiswahili class, yes we have those in kenya eg Kibajuni ,Kiamu , Kimvita, Kijomvu etc. These dialects differ in how words are pronounced and a word in one dialect might sound like an insult in another.

NB: I will give you a thumbs up for the attempt,this is the first time I have heard obfuscate from a Tanzanian.(Positive)
 
Uttering gibberish, the true definition of a Kenyan

The police was correct. Whoever made the video must have been educated in bongolala.

Pillion is the seat behind a motorcyclist.

So if you are on a boda boda, you are the pillion passenger.

Wouldn't expect you to know that though.
 
Dongo Kundu sounds like something to do with a dirty asshole.

Pronounced by an Indian who cant pronounce Swahili properly.

Anee Dongo Kundu iko mavi palee?
Pervert spotted! Sasa ukisikia kuhusu Kakuma kule mpakani na S.Sudan si ndio utajinyea kwa furaha? 😀 How old are you?
 
Japanese people do not use Swahili as a medium of communication.

Your analogy combines a false equivalence and a distorted obfuscation.

Just because two things share the same trait, it dies not mean they are the same.
How stupid are you? Only TZedians will sexualize and objectify a name rather than see the bigger picture. You guys are DUMB! Yes the term "kundu" out of context can mean something else but also it's the Swahili term for RED. Now that combined with the preceding "DONGO" only has one meaning yaani red soil. Kila siku mpo hapa Kiswahili ni chenu lakini basics hamjui.

Man I feel more and more stupid engaging with some of y'all Tanzanians.
 
Context matters, I promise to say something positive at the end.

a) It is "does" not "dies"

b) Kenyans know the meaning of Dongo Kundu to mean "Red soil", same as Kumamoto has it's meaning to the japanese (Our kiswahili expressions will differ from yours).

c) Your perverted interpretation of the phrase does not mean what you want it to mean to us, just as Kumamoto does offend the japanese

d) I hope you were taught about Dialects (Lahaja) in your kiswahili class, yes we have those in kenya eg Kibajuni ,Kiamu , Kimvita, Kijomvu etc. These dialects differ in how words are pronounced and a word in one dialect might sound like an insult in another.

NB: I will give you a thumbs up for the attempt,this is the first time I have heard obfuscate from a Tanzanian.(Positive)
Dongo Kundu? Mmekosa majina kabusa mpaka muiite sehemu Kundu?

Trump akisema huko ni shithole mtakataa?
 
How stupid are you? Only TZedians will sexualize and objectify a name rather than see the bigger picture. You guys are DUMB! Yes the term "kundu" out of context can mean something else but also it's the Swahili term for RED. Now that combined with the preceding "DONGO" only has one meaning yaani red soil. Kila siku mpo hapa Kiswahili ni chenu lakini basics hamjui.

Man I feel more and more stupid engaging with some of y'all Tanzanians.
A place called shithole.

Cut the shit!
 
Don't feed the troll guys, I also thought he was for real. Ameumwa sana kuona mradi wa SEZ unasonga mbele, bypass imekamilishwa na highway nyingine inaendelea kujengwa. Haya yote yanaendelea kule Dongo Kundu. Kiranga jamaa wa wivu tulia, au uhamishe wivu wako wa kibinti binti hadi kule kwenye ule uzi wa Eliud Kipchoge. 😀
 
Back
Top Bottom