Happy B'day Boniface Salim

babe nifungue eti...?!!
au umpe namba zangu!!

muombe my switie hapo
juu namba zangu!
Mimi na wewe ni kitu kimoja, haina maana kunyimana.

Ila tusishee na KakaKiiza .... lile bazazi ni beberu na kabaila.

Linapenda kujilimbikizia mali, halipendi ujamaa kabisa.


Kwenye hili nakubaliana nawe kwa aslimia mia moja. Ndugu yetu yule ni kabaila
 
Yani wewe ndio yule ambaye huna namba... huhesabiwi wewe kwa kuwa uko ndani yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] looohh!

sieleweki eleweki....
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…