wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
shemelaa....njoo basi!!
tukale mishikaki pale basi...
Shemela nna hamu na keki. mnaenda kukatia wapi hiyo keki nije kuonja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shemelaa....njoo basi!!
tukale mishikaki pale basi...
Wivu sina ila roho inauma....
happy birthday kwake.
mie nataka tufanye mkakati mmoja. tubaki tu wawili ili niwe mzima kabisa sitaki kutibiwa kila mara.Usijali mi ni dawa ya maumivu ya roho yako. Ntakutibu
hahahahhahahahahaha yamekuwa hayo tena?switie hao wanaojipendekeza...!!
mm nawaangalia tu!
Tatizo dawa nnazo nyingi. Naogopa zikieksipaya zitakuwa sumu.mie nataka tufanye mkakati mmoja. tubaki tu wawili ili niwe mzima kabisa sitaki kutibiwa kila mara.
pale pale pa Siku zote...
si unapajua...?!!
Na kweli...Kwenye hili tupo wengi sana Bazazi......
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie michepuko tuu...
njia kuu nipo!!!
Wala usijali. Endelea kuniamini maana wajua huwa sikuangushi.switie hao wanaojipendekeza...!!
mm nawaangalia tu!