Happy B'daY Carleen

Happy B'daY Carleen

Duuhh Tayari.



Mkuu Carleen , nisiwe mnafiki, mie nakuombea uishi tu Umri ambao Mungu kamuamlia mwanadamu kuishi.

Na ili hilo liwezekane ni lazima

1-Umuombe kila siku akuepushe na Mabalaa, magonjwa, na minyonyoro ya shetani.

2-Wewe mwenyewe kuhakikisha unajipa Tahadhari na kuchukua Hatua mbali mbali za kuifanya Afya yako izidi kua Bora..... Kwa mfano...Kama umeolewa tulia na mumeo..., kama hujaolewa, kua na mpenzi mmoja mwaminifu na uwe mwaminifu, kama una hofu naye Basi tumia kondomu na kuepukana na tabia hatarishi kama kunyonya mashine n.k.


Huo ni mfano tuuu, vipi vingi ,kuanzia vyakula, aina ya maisha yako n.k



Kinyume nahapo Mkuu Carleen kuifikisha miaka 75 tu ni Tizi ,sembuse iyo 120 ??



Happy birthday !!.
 
Back
Top Bottom