happy bday mokoyo

I thank you all jamani, nawapenda sana, hamuwezi kujua tu ni jinsi gani moyoni nafarijika kwa nyie kufika hapa na kuniandikia maneno ya best wishes. Nawapenda na kuwajali
 
hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo. lakini si umesikia tina anavyosema ni bebi wa muda (ONE NIGHT STAND)

anyway happy birthday makoyo!!!!!!!!!!


Haaaa, thubutuuuu mi sio wa 1 nyt stand!!!!
Muulize mokoyo km hapa anachomoa, lazima ukae!
Munkari wanaume ndo walivyo ukiona unabañwa unaachia
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mfano tu wa mikataba mingi ya uuaji wa watanzania. Sasa aliesaini huo mkataba ana tofauti na na majambazi kama walioiba hela Ubungo?

Labda mama ... naye ni mmiliki wa hiyo kampuni labda ana share huo.

Heaven on earth
Ukiona manyoya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…