Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe...na boksi la juisi eenh??
hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo. lakini si umesikia tina anavyosema ni bebi wa muda (ONE NIGHT STAND)
anyway happy birthday makoyo!!!!!!!!!!
Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mokoyo...
Tina hiyo pati ni wapi tuje kutia sunna?
Huu ni mfano tu wa mikataba mingi ya uuaji wa watanzania. Sasa aliesaini huo mkataba ana tofauti na na majambazi kama walioiba hela Ubungo?
Labda mama ... naye ni mmiliki wa hiyo kampuni labda ana share huo.
Heheh miye siwezi kosa mwaliko lol...maana lazima bodaboda yangu ihusike kuwahisha wadau huko
christine Ibrahim, thanks a lot mydia for making me happy; you are such a wonderful woman; love you so much lady
DEMBA, naomba nikutambulishe rasmi kwa wifi yako christine Ibrahim
hapo ndo kuna maswali makubwa.....ngoja besidei iishe ili tupate majibu
ndo najiandaa hivyo naenda hukohuko kwa bday hakatwi mtu hapa!!!!
Heheeeee watu8
Upoooo