Happy birth day Isaac

Happy birth day Isaac

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,426
Habari za pasaka wapedwaaa pamoja na uchoyo wa mialiko ya pasaka nimekula mapochopocho kwa lazimaa...........Niende moja kwa Moja kwenye madaaaa....
Jamani Leo ni Siku ya kuzaliwa ya Isaac anatimiza miaka.............atakuja kusema mwenyewe nadhani hilo jina litakuwa si geni kwa baadhi ya watu humu.....nahisi mkiniona mtamkumbukaaa km angeniruhusu ni mtaje jina analotumia humu jf ningelitajaa ,,, ....NAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE NA AMANI,,,UPATE MKE MWEMA MZAE NA WATOTO WAKAONGEZE UPENDO KWENYE NYUMBA YENUUUU[emoji122] [emoji122] [emoji257] [emoji257] [emoji307] [emoji307] [emoji320] [emoji320] [emoji322] [emoji322] [emoji324] [emoji324] [emoji512] [emoji512] [emoji486] [emoji486] [emoji485] [emoji485]
 
Hbd isaac, karibu sana mkuu nshakuandalia msosi hapa wanakusubiria wewe tu
IMG-20170417-WA0030.jpg
 
Humu tunatambuana kwa hizo hizo fake ID!
Sasa wewe unataka tumtakie birthday halafu hutaki kumtaja.......
Au ndio Shemeji yetu kwako?
Teh
 
NAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE NA AMANI,,,UPATE MKE MWEMA MZAE NA WATOTO WAKAONGEZE UPENDO KWENYE NYUMBA YENUUUU

J wewe ndio mke unamuombeaje sasa apate mke mwema?
Alafu wewe Isaac kama upo kweli humu jua hutokuja kupata anayekupenda kama jovitha hapa [emoji23]

Happy birthday to Isaac
Long live our shemeji
 
Haya.
Uwaambie kabisa babu hataki mchezo na mjukuu wake. Wakicheza nakuoa mwenyewe wasikuchezee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali babuu vipi bibi mbn simuoni huku Leo au ushamnyang'anya simu na hii pasaka ilivyoangukia tarehe mby,,,, ukahisi jamaa watakuzidi kete,,,,,[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom