Happy birthday agatha Edward

Happy birthday agatha Edward

wadada wengi ukiwauliza birthday ako lini kama saivi ni sptember atakuambia yake ni october,nov or december huchomoki nakwambia....hata kama yake ilishapita

ukijisahaulisha tena ikifika mwakani february Birthday tena,wadada wetu kwa mwaka wana birthday 3 kina kaka tuna kazi sisi.

Agata mwezi uliopita ilikua birthday ake kule fb...ikifka december anazaliwa tena insta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asavali birthday yako ishapta hapa naweza anza mtongozo,maaana kila dem naetongoza hauishi mwezi ananiambia mwezi ujao birthday yangu baby..nakomaga mimi.

Happy birthday bint edwardooooo,,,,,Nakuja nakuja hukoooo
Sasa anakwambia ana birthday yake we ufanye nini labda?
 
Dah...Safi sana Agata...ndiyo ujitahidi sasa [emoji2960]
 
Back
Top Bottom