Happy birthday agatha Edward

Happy birthday agatha Edward

Asavali birthday yako ishapta hapa naweza anza mtongozo,maaana kila dem naetongoza hauishi mwezi ananiambia mwezi ujao birthday yangu baby..nakomaga mimi.

Happy birthday bint edwardooooo,,,,,Nakuja nakuja hukoooo
 
Hahahaha kweli aisee hapa ngomw hadi mwakani tena
 
Sasa hivi itakuwa kimyakimya nahisi sababu ya uzee wangu ila zawadi za pesa napokea we mzee [emoji847][emoji847] itakuwa Dec
wadada wengi ukiwauliza birthday ako lini kama saivi ni sptember atakuambia yake ni october,nov or december huchomoki nakwambia....hata kama yake ilishapita

ukijisahaulisha tena ikifika mwakani february Birthday tena,wadada wetu kwa mwaka wana birthday 3 kina kaka tuna kazi sisi.

Agata mwezi uliopita ilikua birthday ake kule fb...ikifka december anazaliwa tena insta
 
Asavali birthday yako ishapta hapa naweza anza mtongozo,maaana kila dem naetongoza hauishi mwezi ananiambia mwezi ujao birthday yangu baby..nakomaga mimi.

Happy birthday bint edwardooooo,,,,,Nakuja nakuja hukoooo
😀😀uchoyo huo

Asante sana
 
Back
Top Bottom