Ndio ndio we mzee si unajua wahenga tena ni pesa tuHahahaha, unapokea zawadi ya pesa tu?
Hahahaha, sawa sawaNdio ndio we mzee si unajua wahenga tena ni pesa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wadada wengi ukiwauliza birthday ako lini kama saivi ni sptember atakuambia yake ni october,nov or december huchomoki nakwambia....hata kama yake ilishapita
ukijisahaulisha tena ikifika mwakani february Birthday tena,wadada wetu kwa mwaka wana birthday 3 kina kaka tuna kazi sisi.
Agata mwezi uliopita ilikua birthday ake kule fb...ikifka december anazaliwa tena insta
Sasa anakwambia ana birthday yake we ufanye nini labda?Asavali birthday yako ishapta hapa naweza anza mtongozo,maaana kila dem naetongoza hauishi mwezi ananiambia mwezi ujao birthday yangu baby..nakomaga mimi.
Happy birthday bint edwardooooo,,,,,Nakuja nakuja hukoooo