Happy Birthday Asprin babuu

Happy Belated Birhtday Big Sam aka Asprin aka dawa ya maumivu ya kichwa aka Babuuu
Bingoooo!!!

Hii wish ni dalili nzuri kwangu..... hakyamama leo sitanyimwa.

Sante sana Kasie... will you marry me?
 
Ha ha ha. Mkuu mie ni dada yao mabebs wako kwahio niite "shemeji" tu😉
Khaaaa! Next time ukomage kuniita "mkuu". Mbyutiful hapendezi kumwita rijali namna hiyo.

Hebu twende PM. Hawa mabebz wananishinda sasa... itabidi na italazimika sasa nitulie na dada yao maisha yatulie.
 
hbdy mkuu hongera kwa kuzidi kulikaribia kaburi
 
Hapy birth day mr, ujaliwe maisha marefu na aliekuleta hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…