Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaa! Next time ukomage kuniita "mkuu". Mbyutiful hapendezi kumwita rijali namna hiyo.Ha ha ha. Mkuu mie ni dada yao mabebs wako kwahio niite "shemeji" tu😉
Aaaah komred bhana.... nani avute bangi? Mimi? Hapana asee, labda itokee tu.Mtoto usijaribu kuvuta bhangi !
Nakutakia maisha mema
Na aliyekudanganya nafanya utani na wewe ni nani?Teh baba angu mugabe amegomea kabisa utani na wewe
Nimejidanganya mwenyeweNa aliyekudanganya nafanya utani na wewe ni nani?
Uongo hausaidii. Njoo kwenye ulimwengu wa ukweli.Nimejidanganya mwenyewe
Sawa tanguliaUongo hausaidii. Njoo kwenye ulimwengu wa ukweli.
Nakusubiri PM
We veepee?? Inanoga mwanamke akitangulia... anza wewe mimi namaliza.Sawa tangulia
Khaa... thanks kwa honest wish... ukweli uumao lolhbdy mkuu hongera kwa kuzidi kulikaribia kaburi
Khaa haya kumbe ladies first EeehWe veepee?? Inanoga mwanamke akitangulia... anza wewe mimi namaliza.
Sasa jee? Tukitangulia sisi mnasema hampendi kwa kuwa hamuwezi kwenda wenyewe kwenye kilele.... tena mwatutukana majogooKhaa haya kumbe ladies first Eeeh
Amina... amina. Ubarikiwe sanaHapy birth day mr, ujaliwe maisha marefu na aliekuleta hapa duniani
Thanks Mtoto. Hebu letea babu hizo hela nikuwekee mpaka kesho usubuhi.ow Happy belated birthday