Happy Birthday Asprin babuu

Kiongozi unapendelea nini?

Nakufanyia mpango haraka iwezekanavyo
Kale kokote ambako hakauzwi kwa mwenye umri chini ya miaka 18. Hapa kaunta kuna kakitu kameandikwa Grants..... dah!
 
Hii kumwita binadamu HONEY, ni Udanganyifu kwenye Mitandao. Sheria hapa ichukua Mkondo wake.

Si unajua tena sasa hivi Waziri ni NAPE?

Ila itabidi akusamehe maana ni BIRTHDAY yako. Hepi BESIDEI Fundi Mchundo.

Thanks honey..... Ukiwa huku unakuwa mrembo kuliko ukiwa jukwaa la siasa. Ushaona tofauti kati ya Bi. Kidude na K-Lyn??
 
Hii kumwita binadamu HONEY, ni Udanganyifu kwenye Mitandao. Sheria hapa ichukua Mkondo wake.

Si unajua tena sasa hivi Waziri ni NAPE?

Ila itabidi akusamehe maana ni BIRTHDAY yako. Hepi BESIDEI Fundi Mchundo.
Fundi mchundo...

Hawa wachuchu wa sasa usipowaita honey utabakia kuwaita mashemeji....na utaishia kula "vyura".

Nashukuru kwa wishes zako fundi... zinaongeza uhai flani...

Pamoja sana
 
Hapi ndipo unaponiuzigi Kasie... kila nikitaka kurusha nyavu lazima umstue Nyani.... khaa!!

Ama kweli mapenzi ni kikohozi

Big Sam jamani nimekuudhi nini tena? Kwani wewe hufahamiani na Nyani Ngabu ? Kwani wewe sio The Legend kama yeye?
Heee hivo kumbe nimemuita hehehee hizi simu za tachi ni shida mie nilijua nimekuita wewe kumbe nimemuita yeye kweli kikohozi kimenishika. .....Koh koh koh koh koh...... dawa sasa hadi niende poriniii kwa Nyani mzee heheheee.

Babu Sam good day.

Kasie.
 
Tatizo hili legendari lina wivu afu libabe. Likijua nasarandia mali zake.... Oh God!

Uwe na siku njema pia Kasie Nyani.

Pokea baraka toka kwa Big Sam. Na ukae ukijua baraka zangu zinadumu kwa wiki tatu. Usiponisalimia ndani ya wiki mbili nakutwanga na laana mbili ambazo hudumu kwa miezi sita.

Amen.
 
Salute kwako babu Asprin. Labda itokee tu au sio hahahaha
Yeah... ikitokea inakuwa hamna jinsi asee. Kwa mfano nlikuwa nampenda sana Jacklin Ntuyabaliwe. Nilitamani sana nifanye naye tendo la uzazi. Lakini kishaolewa na kibopa Mengi.... simtaki tena... yani si kashaolewa??? Nimtake wa nini? Ndo kama hivyo sasa, labda itokee tu yani... yani kwa bahati nzuri au mbaya....lol
 
Hahahahaha babu umetisha. Ila unaomba itokee hiyo bahati au?
 
Hahahahaha babu umetisha. Ila unaomba itokee hiyo bahati au?
Dah... sasa hata nikiiombea itatokea? Basi tu yani tunamwachia Mungu au shetani liwalo litakalokuwa.... ikitokea ndo hivyo tena kunakuwa hakuna jinsi. Isipotokea ndo basi tena tunavumilia maumivu
 
Hahahahaaa asante kwa heri na baraka zako babu ndo maana huwa nakupenda.
Basi kabla wiki mbili hazijaisha tutakuja na Nyani Ngabu kukusalimu......

Laana yako naiogopa maana miezi sita ni nusu mwaka looh muda wote huo kukaa bila kifanyio nahisi pataota kutu heheehee

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…