Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale kokote ambako hakauzwi kwa mwenye umri chini ya miaka 18. Hapa kaunta kuna kakitu kameandikwa Grants..... dah!Kiongozi unapendelea nini?
Nakufanyia mpango haraka iwezekanavyo
Thanks honey..... Ukiwa huku unakuwa mrembo kuliko ukiwa jukwaa la siasa. Ushaona tofauti kati ya Bi. Kidude na K-Lyn??
Kale kokote ambako hakauzwi kwa mwenye umri chini ya miaka 18. Hapa kaunta kuna kakitu kameandikwa Grants..... dah!
Kudadadadadadadadadeeeki!... hakyamama zambi zako zote zimefutwaaa!!!
Fundi mchundo...Hii kumwita binadamu HONEY, ni Udanganyifu kwenye Mitandao. Sheria hapa ichukua Mkondo wake.
Si unajua tena sasa hivi Waziri ni NAPE?
Ila itabidi akusamehe maana ni BIRTHDAY yako. Hepi BESIDEI Fundi Mchundo.
cc: Pumpkin pie Nyani Ngabu...........Bingoooo!!!
Hii wish ni dalili nzuri kwangu..... hakyamama leo sitanyimwa.
Sante sana Kasie... will you marry me?
Anasema anae Yule mdogo wako, au wewe hutaki ladyfurahia...?akupe mjukuu yupi wakati wajukuu zake wote siye tushaolewa tena kwa bakshasha kubwa hahahahahhaaaa
Hapi ndipo unaponiuzigi Kasie... kila nikitaka kurusha nyavu lazima umstue Nyani.... khaa!!cc: Pumpkin pie Nyani Ngabu...........
Haramu yangu hiyo. Siwezi kula damu yangu mwenyewe. Kamata hiyo mahari utanipa baadaeAnasema anae Yule mdogo wako, au wewe hutaki ladyfurahia...?
Hapi ndipo unaponiuzigi Kasie... kila nikitaka kurusha nyavu lazima umstue Nyani.... khaa!!
Ama kweli mapenzi ni kikohozi
Tatizo hili legendari lina wivu afu libabe. Likijua nasarandia mali zake.... Oh God!Big Sam jamani nimekuudhi nini tena? Kwani wewe hufahamiani na Nyani Ngabu ? Kwani wewe sio The Legend kama yeye?
Heee hivo kumbe nimemuita hehehee hizi simu za tachi ni shida mie nilijua nimekuita wewe kumbe nime yeye kweli kikohozi kimenishika. .....Koh koh koh koh koh...... dawa sasa hadi niende poriniii kwa Nyani mzee heheheee.
Babu Sam good day.
Kasie.
Shikamoo teacher!Ha ha ha 😀[emoji14]
Salute kwako babu Asprin. Labda itokee tu au sio hahahahaAaaah komred bhana.... nani avute bangi? Mimi? Hapana asee, labda itokee tu.
Yeah... ikitokea inakuwa hamna jinsi asee. Kwa mfano nlikuwa nampenda sana Jacklin Ntuyabaliwe. Nilitamani sana nifanye naye tendo la uzazi. Lakini kishaolewa na kibopa Mengi.... simtaki tena... yani si kashaolewa??? Nimtake wa nini? Ndo kama hivyo sasa, labda itokee tu yani... yani kwa bahati nzuri au mbaya....lolSalute kwako babu Asprin. Labda itokee tu au sio hahahaha
Hahahahaha babu umetisha. Ila unaomba itokee hiyo bahati au?Yeah... ikitokea inakuwa hamna jinsi asee. Kwa mfano nlikuwa nampenda sana Jacklin Ntuyabaliwe. Nilitamani sana nifanye naye tendo la uzazi. Lakini kishaolewa na kibopa Mengi.... simtaki tena... yani si kashaolewa??? Nimtake wa nini? Ndo kama hivyo sasa, labda itokee tu yani... yani kwa bahati nzuri au mbaya....lol
Marahaba....Shikamoo teacher!
Dah... sasa hata nikiiombea itatokea? Basi tu yani tunamwachia Mungu au shetani liwalo litakalokuwa.... ikitokea ndo hivyo tena kunakuwa hakuna jinsi. Isipotokea ndo basi tena tunavumilia maumivuHahahahaha babu umetisha. Ila unaomba itokee hiyo bahati au?
Tatizo hili legendari lina wivu afu libabe. Likijua nasarandia mali zake.... Oh God!
Uwe na siku njema pia Kasie Nyani.
Pokea baraka toka kwa Big Sam. Na ukae ukijua baraka zangu zinadumu kwa wiki tatu. Usiponisalimia ndani ya wiki mbili nakutwanga na laana mbili ambazo hudumu kwa miezi sita.
Amen.
Tatizo hili legendari lina wivu afu libabe. Likijua nasarandia mali zake.... Oh God!
Uwe na siku njema pia Kasie Nyani.
Pokea baraka toka kwa Big Sam. Na ukae ukijua baraka zangu zinadumu kwa wiki tatu. Usiponisalimia ndani ya wiki mbili nakutwanga na laana mbili ambazo hudumu kwa miezi sita.
Amen.