Happy Birthday Asprin babuu


Uzuri wa Kasie ni ajuza kama nyie ni mababu basi Kasie ni kjbibi hivo ule usemi wa caring is sharing na kizuri kula na wenzio unafanyakazi kwa sisi wanawake (najua kwa wanaume ngumu kushea)

Hivo Ngabu akiwa ni Legends wa mabebs kwangu ni ishara afya yake iko vizuri na via vya uzazi viko imara. Akija kwa Kasie anapata vitu adimu hata inamchukua siku kadhaa kwenda kwa mbabes mwingine na hapo ni wakimsumbua. Shida kwetu wanawake ni wivu tuu,
juu ya hapo ilhali napata halali yangu bin haki hadi nafurika nakosa pa kuweka uji basi akienda wagaia uji na wengine sio mbaya teh teh teh mbaya tuu asiwe ananiaga kuwa anaenda gawa uji huko.
Huyo ndo Kasie..... Wacha Nyani ale karanga na asali kutoka Tabora kwa raha zake.
 

Hahahahahaa Big Sam bana usinifurahishe Kasie kwao kazaliwa wa kike peke yake wengine wote wa kiume.

Usipate wivu sana na karoho kuuma mbona wako warembo humu kadhaa wa kadhaa wako tayari kuku king mswati. ... hehehee
 
Hahahahahaa.... odm amekubali.

I rest my case.

Weee ni mkareeee....
 
Hahahahahaa Big Sam bana usinifurahishe Kasie kwao kazaliwa wa kike peke yake wengine wote wa kiume.

Usipate wivu sana na karoho kuuma mbona wako warembo humu kadhaa wa kadhaa wako tayari kuku king mswati. ... hehehee
Tatizo hawana guts kama za kwako... naamini hizi ni za kurithi tokea ukoo wenu mtakatifu.

Basi fanyafanya hata katoto ka shangazi... najua katakuwa na vichembechembe vya damu takatifu.
 
Tatizo hawana guts kama za kwako... naamini hizi ni za kurithi tokea ukoo wenu mtakatifu.

Basi fanyafanya hata katoto ka shangazi... najua katakuwa na vichembechembe vya damu takatifu.

Hahahahahaaa
Haya ngoja nikuangalizie japo sikuahidi. ..
 
Hahahahahaa.... odm amekubali.

I rest my case.

Weee ni mkareeee....
cc: Nyani Ngabu usisahau kuja na yale matunda ya zambarau (sijui yanaitwaje kwa kiinglish) nikufanyie surprise ya desert ya hayo matunda.

Lo ya much hun bunny pie monkey.
 
Ewaaaaa.... kwa hilo tu.. mimi odm kwa mamlaka niliyopewa nakufutia dhambi zako za mpaka mwaka 2018. Ukifanikiwa ntakuongezea mfuto wa dhambi kwa miaka mitatu zaidi.

Hahahahaaa odm una makeke..... sikupatii picha enzi zako wakati unacheza mabreka hehehee yaonekana ulikuwa na mikogo sana hahahaaa
 
Hahahahaaa odm una makeke..... sikupatii picha enzi zako wakati unacheza mabreka hehehee yaonekana ulikuwa na mikogo sana hahahaaa
Hahahahahaa.... usinikumbushe enzi za ujana wangu. Nlikuwa na viraba mtoni vyangu wacha kabisa. Machalii walikuwa wana DH zao, wakitaka mchuchu mpya wanakuja kuazima rabamtoni zangu wakauzie sura kwa gharama ya chipsi dume pale Mwenge kwa Nata (RIP).

Namshukuru sana anko angu aliniletea hayo maujiko Urusi alikikuwa kaenda kusoma.

Break dance nilikuwa mahiri mpaka mama akataka kuniachia laana akijua sitasoma
 
Khaaaa! Next time ukomage kuniita "mkuu". Mbyutiful hapendezi kumwita rijali namna hiyo.

Hebu twende PM. Hawa mabebz wananishinda sasa... itabidi na italazimika sasa nitulie na dada yao maisha yatulie.
Tooooba! Nisamehe bure! Nikuiteje sasa jamani?πŸ˜‰
 
Babu Asprin naonba unipe tofauti kati ya matoz wa zama zenu na kina sisi...nahisi ushakula chumvi nyingi
 
Mabishoo/mabrazameni
Hahahahahha mabrazamen we enzi zetu si sawa na hawa matozi wa siku hizi wanaotembea makalio yakiwa nje...

Enzi hizo walitinga mabugaloo.... yaani suraili chini shurti ifunike raizoni zao. Mashati ya kubana yenye vifungo kama hamsini hivi. Then wanatinga saa kubwa kama mita ya maji na nywele huziacha ndefuuu... Hiyo mienendo ya mikogo waliyokuwa wanatembea, mabinti walikuwa wanabloo......
 
Khaaaa babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…