Happy Birthday Asprin babuu

Happy Birthday Asprin babuu

Napenda kuwashukuru wote mlonitakia heri ya kuzaliwa. Bahati mbaya siku ya tukio Anko Magu aliondoka na bando #whatwouldmagufulidokwabethdeiyababu#

Nawashukuruni sana kwa kushangilia kwenu napozidi kulisogelea kaburi. Niko mbele yenu nanyi mtakuja tu. Ila hakika sitakwenda bila kuondoka na hizi totoz tamu za JF.... Shurti nikazikague mwenyewe...

Baada ya kusema hayo napenda kuwakaribisheni Bunju kwenye kukata keki ya ndafu na shampen ya Grants... siku ya Jumamosi (Nilimwomba mama asogeze siku ya kujifungua iwe weekend)

Ahsanteni kwa kuusoma huu upup.u na karibuni sana.

Peace and Love

ODM
 
Kwanza pole kwa kuuanza mwaka vibaya.
Jiji liliwaambia mkapuuza....na ya Bunju imewekwa X.
Njoo uhamie kwetu kinondoni nikulee babu
Nani anapenda kubomolewa na anko Magu??

Chimbo lisharudi tena hewani, karibu sana.

Sisi ndo wenyewe bhana. Kiburiiiiiiii!!!
 
One of the funniest dudes around. Happy birthday mtu mzima. Keep the flames.
 
Shukrani sana mkuu wangu. Ntakuzawadia kabinti kamoja murua kwa hii wish mantashau!!
Ahsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....
 
Dogo tulia..... mzee nakunwa kitambi.....

Thanks for the wishes asee..... am blessed!

Thanks kajukuu.... Am humbled!!


thanks babu kijogooo hahahhahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Shukrani sana mkuu wangu. Ntakuzawadia kabinti kamoja murua kwa hii wish mantashau!!
Ahsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....
 
Ahsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....
akupe mjukuu yupi wakati wajukuu zake wote siye tushaolewa tena kwa bakshasha kubwa hahahahahhaaaa
 
Happy Belated Birhtday Big Sam aka Asprin aka dawa ya maumivu ya kichwa aka Babuuu
 
Back
Top Bottom