Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anapenda kubomolewa na anko Magu??Kwanza pole kwa kuuanza mwaka vibaya.
Jiji liliwaambia mkapuuza....na ya Bunju imewekwa X.
Njoo uhamie kwetu kinondoni nikulee babu
Pale mbona nasikia pamebomolewa??Hapa kudeka ndio kwao jioni tukutane pale kwa mama mage
sema hakyamunguNani anapenda kubomolewa na anko Magu??
Chimbo lisharudi tena hewani, karibu sana.
Sisi ndo wenyewe bhana. Kiburiiiiiiii!!!
Ahsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....Shukrani sana mkuu wangu. Ntakuzawadia kabinti kamoja murua kwa hii wish mantashau!!
Dogo tulia..... mzee nakunwa kitambi.....
Thanks for the wishes asee..... am blessed!
Thanks kajukuu.... Am humbled!!
Ahsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....Shukrani sana mkuu wangu. Ntakuzawadia kabinti kamoja murua kwa hii wish mantashau!!
akupe mjukuu yupi wakati wajukuu zake wote siye tushaolewa tena kwa bakshasha kubwa hahahahahhaaaaAhsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....
Hahaha babu nimeghairi, michepuko mingiThanks darling.... Hivi kale kaombi kangu ka kutaka uwe mchepuko wangu bado unakafikiria au nihamishie maombi yangu kwa Heaven Sent?
Teh ni mapacha lakini no kushareBabu Asprin mimi na Heaven Sent ni mapacha ukihamishia hako kaombi kwake siyo mbaya ili uendelee kupunguza kitambi
Nawewe nawe?? Hata utani mdogo umekushinda???Hahaha babu nimeghairi, michepuko mingi
Teh baba angu mugabe amegomea kabisa utani na weweNawewe nawe?? Hata utani mdogo umekushinda???
Wewe ndio chaguo langu
Duh... unacheka utamu. Yani kama vile umeiba kitumbua ukiwa mtoto.... afu bahati nzuri hujakamatwa.Hahahahaaa
Kamata ladyfurahia. Huyu bado mbichi. Mara ya mwisho kumkagua vile vinyweleo vya upande wa kaskazini-mashariki ndo vilikuwa vinabeep....Ahsante Babu, lakini ukinipa mjukuu umwambie kabisa maana mie mdomo mzito....
Ha ha ha. Mkuu mie ni dada yao mabebs wako kwahio niite "shemeji" tu😉Shukrani sana kiongozi wangu. Bado nna mabebz wengi naweza kukuazima mmoja kwa weekend hii