Bado babu ila 28/1/017 natarajia kuapa mbele ya madhabahu unakaribishwa kumshuhudia mjukuu wako.Amina mjukuu wangu. Mungu akubariki sana mwanangu.
Are you married??
Alafu ahsante kwa kunikumbusha ngoja nije huko mafichoni.nilidhani umeamua kuongeza na kuijaza dunia.
Najua kajifungua juzi. Sema huyu Heaven Sent hajui nani baba wa mtoto wake...unakumbukumbu zozote za Heaven Sent?
Sikujua uko selfish hivyo.... nimuachie Mungu??Bado babu ila 28/1/017 natarajia kuapa mbele ya madhabahu unakaribishwa kumshuhudia mjukuu wako.
Hahahaha, wewe niombee tu mjukuu mambo yaende salama.Sikujua uko selfish hivyo.... nimuachie Mungu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babu unauaaaaaaa!Thank you... ila usisahau kumwambia The bold ... nilikuwa sifanyi utani... asipoleta ukucha wa kidole cha simba dume...cha mguu wa kushoto wa mbele.... yeye na wewe mtakuwa sawa na Lema na Makufuli.
Unasemaaaaaunakumbukumbu zozote za Heaven Sent?
Haha koma weeNajua kajifungua juzi. Sema huyu Heaven Sent hajui nani baba wa mtoto wake...
Nimempa kimwana. Maana ndo ugonjwa WA AsprinHuyu si Nhlanhla wa Mafikizolo?Dada anajua kuvaa huyu namkubali sana.
BTW mbona umemuwish birthday hapa?Au kazaliwa na babu Asprin?
Hahaha haha Hahaha mods Wamefanyaje MI mwenyewe mod WA group yetu ya WHATSAP Keki haikutoshiABOMINATION.....
Modssssssssssss????
HahahaNilikuwa najiuliza muda wote.... ni bando limekuishia??? Hata lile la yunivasite??
Nikataka nimuachie Mungu lakini kuna mtu akanisihi nisifanye hivyo...
Thank you so very much my Nifah (Kwa sauti ya Olu Jacobs wa Nollywood movies, yaani libezi flani hivi amazing LOL). Am humbled kupata this wish toka kwako.... wish ya kwanza huwa ina thamani ujue LOL
God bless us all.
BTW kuna jamaa limenigongea dirishani hapa likitaka likupose. Kwa kuliangalia tu hapo kwako.... hapana asee, bora nikuoe mwenyewe... liwalo na liwe.
all the best be blessedBado babu ila 28/1/017 natarajia kuapa mbele ya madhabahu unakaribishwa kumshuhudia mjukuu wako.
Hivi nakuwa nimeshikwa na uchizi kukuhonga kizee kama wewe ama?Thank you Honey Faith
Sitakuangusha nakuahidi...
Niko hapa kwa wakala wa M/Tigo Pesa, unaruhusiwa sasa kurusha yale mapene.
Yes... It is my Birthday!!
Nilishaandaa kigauni fulani amaizing lazima leo nimpate mtu fulani.....nshafika bnamu Leo out inahusika Leo....
Na kakijana fulani hivi ka huko moshi kashambaa kako first year kanasomea unesi...[emoji124]Happybirthday Grandpa
Sina uhakika sana kama wewe ni babu kweli ila huwa unanifurahisha na comments zako.
Yale matusi ambayo huwa mnaongea kule kwenye lile group la whatsapp na zile picha chafu ambazo huwa mnatumiana kuanzia leo iwe mwisho katika jina la yesu![emoji1]Hahaha haha Hahaha mods Wamefanyaje MI mwenyewe mod WA group yetu ya WHATSAP Keki haikutoshi
Kiroba cha ngapi... Upo? MI sina hata group moja ya wozap nazungumza na huyu mzee mwenzangu tunaelewana lugha yetu.....Yale matusi ambayo huwa mnaongea kule kwenye lile group la whatsapp na zile picha chafu ambazo huwa mnatumiana kuanzia leo iwe mwisho katika jina la yesu![emoji1]
Nimekumiss tukutane baadae kwenye party ya hiki kizeeAsante sana kwa ukaribisho...
Nimekusamehe lakini sitakusahau...Hivi nakuwa nimeshikwa na uchizi kukuhonga kizee kama wewe ama?