Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Thank you... ila usisahau kumwambia The bold ... nilikuwa sifanyi utani... asipoleta ukucha wa kidole cha simba dume...cha mguu wa kushoto wa mbele.... yeye na wewe mtakuwa sawa na Lema na Makufuli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babu unauaaaaaaa!
Nacheka kama mwendawazimu!
Dah...haya msharti kiboko, ngoja aje mwenyewe.
 
Happy birthday to you Babu Asprin , Mola akuongezee umri mwingine wa kwako na wa mchepuko wako,
Ishi miaka mingi tuzidi kusoma namba.
 
Nilikuwa najiuliza muda wote.... ni bando limekuishia??? Hata lile la yunivasite??

Nikataka nimuachie Mungu lakini kuna mtu akanisihi nisifanye hivyo...

Thank you so very much my Nifah (Kwa sauti ya Olu Jacobs wa Nollywood movies, yaani libezi flani hivi amazing LOL). Am humbled kupata this wish toka kwako.... wish ya kwanza huwa ina thamani ujue LOL

God bless us all.

BTW kuna jamaa limenigongea dirishani hapa likitaka likupose. Kwa kuliangalia tu hapo kwako.... hapana asee, bora nikuoe mwenyewe... liwalo na liwe.
Hahaha
 
Hahaha haha Hahaha mods Wamefanyaje MI mwenyewe mod WA group yetu ya WHATSAP Keki haikutoshi
Yale matusi ambayo huwa mnaongea kule kwenye lile group la whatsapp na zile picha chafu ambazo huwa mnatumiana kuanzia leo iwe mwisho katika jina la yesu![emoji1]
 
Yale matusi ambayo huwa mnaongea kule kwenye lile group la whatsapp na zile picha chafu ambazo huwa mnatumiana kuanzia leo iwe mwisho katika jina la yesu![emoji1]
Kiroba cha ngapi... Upo? MI sina hata group moja ya wozap nazungumza na huyu mzee mwenzangu tunaelewana lugha yetu.....
 
Back
Top Bottom