Happy birthday Asprin

Happy birthday to you Babu Asprin , Mola akuongezee umri mwingine wa kwako na wa mchepuko wako,
Ishi miaka mingi tuzidi kusoma namba.
Amen mjukuu wangu. Ubarikiwe sana...

Kama hiyo jinsia uliyo nayo haijawahi kukufikisha kileleni, basi mola akuongezee jinsia ya pili... eimeen!!
 
Hahahaha, wewe niombee tu mjukuu mambo yaende salama.
Amina mwanangu... Mungu akujaalie... tukio la kwanza baada ya kutoka altareni likujaalie watoto mapacha (taja mwenyewe idadi unayoyaka).... Ninaomba hako kwa jina langu mimi babu yao... eimeen
 
Sizitaki mbichi hizi....

Afu hebu niitie Preta yule ni Aquarius mwenzangu. Anaweza kukupa upako wa kwa Mromboo...

Happy birthday mgeni wangu wa kwa mromboo......hivi hii kitu ni leo eeeh.......
Mimi na twin wangu Mentor ni jumamosi ijayo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…