Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Amen mjukuu wangu. Ubarikiwe sana...Happy birthday to you Babu Asprin , Mola akuongezee umri mwingine wa kwako na wa mchepuko wako,
Ishi miaka mingi tuzidi kusoma namba.
Kama hiyo jinsia uliyo nayo haijawahi kukufikisha kileleni, basi mola akuongezee jinsia ya pili... eimeen!!