Happy birthday Asprin

Babu aka kajinsia kaliwahi nifikisha tuu kilele cha Mt Kilimanjaro, but vilele vingine hususan kilele land sijawahi fika labda unisaidie nifike...
 
Hivi haka ka Khantwe kameshatola labor? Nlikaambia kasipate mimba za mchana kakanibishia.... Ona sasa kanavyotaabika. Dah!
Sawa nikitoka labour katoto kako nakaacha hukohuko. Happy birthday mpenzi wangu wa zamani
 
Better Late than never! Asprin - Heri ya kuzaliwa BABU wa wenyewe aka "Kipenzi" chao.
Yani nlikuwa nashangaa kimekutokea nini... Yani hata wewe ni wa kunikaukia???

Angalau sasa roho yangu imepona...

Asante sana mpenzi wangu... nimefarijika.
 
Nani kakupa kibali cha salaam hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…