Happy birthday Asprin

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weee usiniambie
haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mna masihara kitoto cha....??

hiyo 90 mwenzenu anaamliza form six tena zamani wanaanza la kwanza na miaka 15[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....

nyie nyie looohhh!!!
muacheni babi wangu tafadhali
Kizee wapi!! Kitoto cha 90 hicho, labda ateke boom la chuo tu.
Asprin shikamoo, ukimuona Kaizer mwambie hali yangu sio nzuri kwakweli.
 
haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mna masihara kitoto cha....??

hiyo 90 mwenzenu anaamliza form six tena zamani wanaanza la kwanza na miaka 15[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....

nyie nyie looohhh!!!
muacheni babi wangu tafadhali
Waambie honey, wananichokoza hao.
 
Namm birthday yangu tangoja ujumbe toka kwako..na ole wako usinitumie ntakunkuruzinza mpaka ukome!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…