Happy birthday Asprin

Happy born day mzee wa totozi sitasahau ulivyonipora mtoto mzuri J.lee kipindi kile. Ishi miaka mifupi mkuu
 
Sasa mbona idadi ya michepuko yako inazidi kila siku?
 
Happy born day mzee wa totozi sitasahau ulivyonipora mtoto mzuri J.lee kipindi kile. Ishi miaka mifupi mkuu
Hahahhaha pale nilidonoa tu na kuacha. Tatizo unakata tamaa mapema. Kizuri mtu hula na nduguye bhana...

Thanks for the wishes mkuu wangu
 
Kwa hilo la kukufikisha kileleni?? We kanisemelee tu. Haina shida
Kwa nguvu gani ulizonazo za kunifikisha kileleni!!!
Milikuambia uache kula chipsi za mafuta ya transfoma huelewi. Ona sasa unakufa na utamu wako.
 
haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mna masihara kitoto cha....??

hiyo 90 mwenzenu anaamliza form six tena zamani wanaanza la kwanza na miaka 15[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....

nyie nyie looohhh!!!
muacheni babi wangu tafadhali
Kumbe kinachoendelea hapa ni ubakaji!! Jamhuri itakushitaki gen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…